Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

OBAMA AMALIZA ZIARA YAKE TANZANIA AONDOKA ASINDIKIZWA NA MWENYEJI WAKE RAIS KIKWETE

Rais Jakaya Kikwete (kulia) na mkewe Salma wakimuaga Rais Barack Obama na mkewe Michelle waliondoka leo kurudi marekani baada ya ziara ya siku mbili nchini.

Rais Jakaya Kikwete, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadick na Balozi wa Marekani nchini, Alfonso (kulia) wakiipungia ndege iliyokuwa inapaa.

Rais Barack Obama na mkewe Michelle wakiwaaga watanzania leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo, alipokuwa akiondoka kurudi kwao Marekani baada ya ziara ya siku mbili nchini.

Rais Obama na mkewe wakikwea pipa lao la Air Force One,Huku akimshika mkewe kwa umakini zaidi.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO