Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: WABUNGE WA YANGA WALIVYOMENYANA NA WABUNGE WA SIMBA KATIKA TAMASHA LA MATUMAINI… BONGO MUVI NA BONGOFLAVA PIA

 

Mgeni wa rasmi wa tamasha la matumaini Raisi Jakaya Kikwete akiongozana na marefa kuingia uwanjani tayari kukagua timu za wabunge wa Simba na Yanga

Wimbo wa taifa

JK akisalimiana na timu ya wabunge wa Simba

Mgeni rasmi akisalimiana na upande wa wabunge wa Yanga 

Wabunge wa timu ya Yanga wwakishangilia baada ya kukabidhiwa kombe kwa kuifunga timu ya wabunge wa Simba kwa penati 4-3.


BONGO FLEVA vs BONGO MOVIE KWENYE TAMASHA LA MATUMAINI JANA

Bongo Movie kushoto na Bongo Flava kulia wakiiimba wimbo wa taifa kabla ya kuanza mechi

Godi Muhokozi wa timu ya Bongo flava akishangilia goli alilolifunga katika kipindi cha kwanza. Pembeni yake ni msanii Abdul Kiba

Msanii wa Wanaume Halisi KR-Mula akishangilia na washabiki wa Bongo Flava..timu hiyo ilishinda 2-0 dhidi ya Bongo movie katika mikwaju ya penati.  

Mbunge wa Sengerema Mh. William Ngeleja akimkabidhi kombe la ushindi nahodha wa timu ya Bongo Flava msanii H-Baba.

PICHA ZOTE NA SHSFFIH DAUDA

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO