Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: MKUTANO WA BARAZA KUU LA CHADEMA WAFANYIKA MJINI DODOMA MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Freeman Mbowe akifungua mkutano wa Baraza Kuu la Chama hicho mjini Dodoma Jumamosi.
 Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk Vincent Mashinji akizungumza

 Meza kuu

 Mwenyekiti wa CHADEM, Freeman Mbowe akisoma taarifa za chama. 


 


 Wajumbe wa Baraza Kuu wakiwa katika Mkutano huo mjini Dodoma 
 Wajumbe wakiimba Wimbo wa Taifa 
 Dua ilifanyika kabla ya kuanza mkutano huo.
 Wajumbe wakiwa mkutanoni
 Wajumbe ambao ni Wabunge wa Viti Maalum kutoka Mkoa wa Dodoma, Dk Immaculate Sware (kushoto) na Devotha Minja wa Morogoro. Picha zote na Mroki Mroki.
Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO