wakwanza kushoto ni muaandaji wa
bonanza la Afya kwanza akiwa na timu ya Triple a klabu Fc kabla
ya mechi kuanza(habari picha na Woinde Shizza wa
libeneke la kaskazini )
timu ya tigo Fc ikiwa pamoja na timu
ya Triple A klabu FC
waimbaji wa bendi ya Ricker
nest music band wakiwa katika picha ya pamoja na rais wa bendi hiyo
alkievaa nyeupe
wachezaji wa timu ya Triple a
wakiburudika mara baada ya mechi kuisha
waimbaji wa timu ya Ricker nest
music band wakiwa na mmoja wa washabiki wao wa music wao wakifurahi
pamoja
timu ya mringa ringa
iikiendelea kufanya mazoezi kabla ya kuingia
uwanjani
timu ya wavuta kamba ikiendelea
kuvuta kamba
warembo wakifuatilia mpira kwa
makini
timu ya Triple A wakiwa
wanapeana mawazo katika kipindi cha mapunziko
wadau mbalimbali waliouthuria
bonanza hilo wakiendelea kupata vinywaji
mmoja ya wachezaji wa timu ya
Triple A klabu Fc akiwa anatolewa uwanjani na wauguzi mara baada
yakuumia wakati akicheza
Timu ya Tigo Fc ikiwa katika picha ya
pamoja kabla ya mechi baina yao na timu ya Triple A Klabu Fc kuanza
Na Woinde
Shizza,Arusha
Timu ya
Triple A klabu imelazimika kutoka sara ya bao moja
kwa moja na timu ya Tigo FC katika
bonanza la michezo lijulikanalo kwa jina la Afya Kwanza
lililofanyika katika viwanja vya Gymkana
jijini hapa
Bonanza
hilo ambalo
ni mara ya kwanza kufanyika limeandaliwa na
mkurugenzi wa Bendi ya Rickernest music band ,bendi ambayo makao makuu
yake ni jijini hapa na imeshirikisha michezo mbalimbali ikiwemo kuvuta
kamba pamoja na mpira wa miguu
Akiongelea
bonaza hilo muandaaji wa mashindano hayo
Denis Mtedeki alisema
kuwa nia rasmi ya kuandaa bonanza hili ni kuwakutanisha watu
mbalimbali na kufurahi pamoja pamoja na kushiriki michezo
,ikiwa kama ni sehemu ya kufanya
mazoezi
Alisema kuwa
bonanza
hili limeshirikisha jumla ya timu za mipira wa miguu mbili pamoja na timu
zingine mbili ambazo zilifanya kazi ya kuvuta kamba,alizitaja timu hizo kuwa ni
timu kutoka kampuni ya simu ya Tigo
(Tigo Fc), Olemringaringa FC, Red Apple,Mijada Fc pamoja na
Triple a klabu FC.
Denis
aliongeza kuwa
mbali na kushiriki bonanza hili pia wachezaji na washiriki waliouthuria
walipata fursa ya kupima magonjwa mbalimbali ikiwemo kupima presha na kisukari
bure.
Aidha
aliongeza kuwa bonanza hili alitaishia hapa bali
litakuwa likifanyika kila mwisho wa mwezi lengo ikiwa ni kufanya mazoezi
,kuwakutanisha wadau mbambali mbali na kufurahi pamoja
kawaida wakwanza kushoto ni muaandaji wa bonanza la Afya kwanza akiwa na timu ya Triple a klabu Fc kabla ya mechi kuanza(habari picha na Woinde Shizza wa libeneke la kaskazini ) timu ya tigo Fc ikiwa pamoja na timu ya Triple A klabu FC waimbaji wa bendi ya Ricker nest music band wakiwa katika picha ya pamoja na rais wa bendi hiyo alkievaa nyeupe wachezaji wa timu ya Triple a wakiburudika mara baada ya mechi kuisha waimbaji wa timu ya Ricker nest music band wakiwa na mmoja wa washabiki wao wa music wao wakifurahi pamoja timu ya mringa ringa iikiendelea kufanya mazoezi kabla ya kuingia uwanjani timu ya wavuta kamba ikiendelea kuvuta kamba warembo wakifuatilia mpira kwa makini timu ya Triple A wakiwa wanapeana mawazo katika kipindi cha mapunziko wadau mbalimbali waliouthuria bonanza hilo wakiendelea kupata vinywaji mmoja ya wachezaji wa timu ya Triple A klabu Fc akiwa anatolewa uwanjani na wauguzi mara baada yakuumia wakati akicheza Timu ya Tigo Fc ikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mechi baina yao na timu ya Triple A Klabu Fc kuanza Na Woinde Shizza,Arusha Timu ya Triple A klabu imelazimika kutoka sara ya bao moja kwa moja na timu ya Tigo FC katika bonanza la michezo lijulikanalo kwa jina la Afya Kwanza lililofanyika katika viwanja vya Gymkana jijini hapa Bonanza hilo ambalo ni mara ya kwanza kufanyika limeandaliwa na mkurugenzi wa Bendi ya Rickernest music band ,bendi ambayo makao makuu yake ni jijini hapa na imeshirikisha michezo mbalimbali ikiwemo kuvuta kamba pamoja na mpira wa miguu Akiongelea bonaza hilo muandaaji wa mashindano hayo Denis Mtedeki alisema kuwa nia rasmi ya kuandaa bonanza hili ni kuwakutanisha watu mbalimbali na kufurahi pamoja pamoja na kushiriki michezo ,ikiwa kama ni sehemu ya kufanya mazoezi Alisema kuwa bonanza hili limeshirikisha jumla ya timu za mipira wa miguu mbili pamoja na timu zingine mbili ambazo zilifanya kazi ya kuvuta kamba,alizitaja timu hizo kuwa ni timu kutoka kampuni ya simu ya Tigo (Tigo Fc), Olemringaringa FC, Red Apple,Mijada Fc pamoja na Triple a klabu FC. Denis aliongeza kuwa mbali na kushiriki bonanza hili pia wachezaji na washiriki waliouthuria walipata fursa ya kupima magonjwa mbalimbali ikiwemo kupima presha na kisukari bure. Aidha aliongeza kuwa bonanza hili alitaishia hapa bali litakuwa likifanyika kila mwisho wa mwezi lengo ikiwa ni kufanya mazoezi ,kuwakutanisha wadau mbambali mbali na kufurahi pamoja
0 maoni:
Post a Comment