Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

CHADEMA Kukutana Dodoma Kujadili Hali ya Kisiasa Nchini na Mikakati ya Chama

Taarifa iliyotolewa na kurugenzi ya mawasiliano ya umma ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inaeleza  ratiba ya vikao vya chama hicho kuanzia Alhamisi ya wiki hii Mjini Dodoma vikitanguliwa na kikao cha Sekretarieti, baadae Kamati Kuu na kisha kuhitimisha na kikao cha Baraza Kuu!

Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO