Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: Viongozi waliofika Shule ya Lucky Vincent Kutoa Pole!

Matukio katika Picha: Viongozi mbalimbali waliofika Lucky Vincent Primary School kutoa Salam zao za pole pamoja na kuwafariji wafiwa wakijumuisha Waziri wa Elimu Mh Prof Joyce Ndalichako, Mh.Mbunge wa Arusha Mjini Jonathan Godbless Lema, Meya wa Jiji la Ausha Mh.Kalisti Lazaro, Waziri mkuu mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema Mh Fedrick Sumaye pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini Mh Daqarro.
MwenyeziMungu Azilaze Roho za Marehemu Mahali pema peponi Amin!!







Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO