Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

MBUNGE LEMA WA CHADEMA ALIVYOJICHANGANYA NA MASHABIKI KUSHUHUDIA MPAMBANO WA SIMBA NA JKT OLJORO JIJINI ARUSHA JUZI

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema akipanda kwenye jukwaa la 'walala hoi' Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha jana kushuhudia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, kati ya Simba na JKT Oljoro, tofauti na ilivyozoeleka Wabunge hukaa VIP. Timu hizo zilitoka 1-1 juzi.

Mashabiki wanamkaribisha

Anaomba nafasi akae

Anajiandaa kuketi baada ya kupewa nafasi

Kaketi anaangalia mechi hiyo

Mechi inaendelea, Simba wanashambulia, kipa anadaka. Picha na http://bongostaz.blogspot.com/

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO