Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

KAMERA YA BIN ZUBEIRY NA MPAMBANO WA SIMBA SC NA LIBOLO UWANJA WA TAIFA JANA; LIBOLO ILISHINDA 1-0

Mshambuliaji wa Simba, Mrisho Ngassa akimtoka mchezaji wa Recreativo de Libolo ya Angola,Dario Cardoso katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika jioni ya jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Libolo ilishinda 1-0.

Ngassa akimtoka beki wa Libolo, Antonio Cassule

Haruna Chanongo wa SImba akipasua katikati ya wachezaji wa Libolo

Ngassa na Cassule

Kiungo wa Simba SC, Amri Kiemba (kushoto) akiwania mpira dhidi ya beki wa Libolo, Pedro Ribeiro kulia

Simba na Libolo wakiingia uwanjani

Kikosi cha Libolo leo

Simba wakiomba dua na nyuma yao ni Libolo pia wakiomba dua 

Kikosi cha Simba SC

Wachezaji wa Simba SC wakiwapungia mikono mashabiki wao kabla ya mechi

Mrisho Ngassa akipiga krosi baada ya kufanikiwa kumtoka beki wa Libolo

Kipa wa Simba, Juma Kaseja akienda kuokota mpira nyavuni baada ya Libolo kufunga bao

Libolo wakiwapungia mikono mashabiki wa Yanga baada ya mechi kuwashukuru kwa kuwashangilia

Haruna Moshi 'Boban' (kushoto) akipiga shuti mbele ya beki wa Libolo

Beki wa Simba, Juma Nyosso akimiliki mpira  mbele ya beki wa Libolo

Haruna Chanongo akipasua katikati ya mabeki wa Libolo

Kiungo wa Libolo, Manuel Lopez akiondoka na mpira baada ya kumzidi maarifa Mwinyi Kazimoto wa Simba SC

Manuel Lopez kulia akigombea mpira na Mwinyi Kazimoto wa Simba SC kushoto

Mwinyi Kazimoto akigombea mpira wa juu na kiungo wa Libolo

Beki wa Simba SC, Shomary Kapombe akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Libolo

Haruna Moshi 'Boban' akimtoka beki wa Libolo

Amri Kiemba akimtoka beki wa Libolo

Mwinyi Kazimoto wa Simba akigombea mpira wqa juu na kiungo wa Libolo

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO