Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

KIGOMA ALL STARS WALIVYONOGESHA USIKU WA VALENTANE NDANI YA VIA VIA CULTURAL CLUB ARUSHA

Msanii ajulikanae kwa jina la Ally kiba akifanya mambo katika ukumbi wa viavia wakati wa sherehe za valentane day jijini Arusha


mashabiki walihudhuria kibao katika shoo hii ya siku ya wapendanao wengine walitokelezea na red huku wakionekana kila mmoja akiwa na mpenzi wake shoo hii ilidhaminiwa na kituo kikubwa cha radio cha jijini hapa Kinachotikisa karibia tanzania nzima kituo cha Radio 5


Ally kiba akifanya mambo yake

hii ni meza ya baadhi ya wafanyakazi wa kituo cha radio 5 kilichoandaa na kuthamini shoo hii kwa ajili ya siku ya wapendanao wengine waniiita valentane day

katika shoo hii kulikuwa na wasanii kibao ikiwa ni pamoja na mzee wa zamani zairi zoro  ambapo mara baada ya kumaliza shoo yake katika ukumbi wa palace hotel aliamia kumpa mtoto wake banana zoro sapoti ambapo alionekana ni mtu mwenyefuraha sana

kikundi cha kontejazz kikifanya maambo wa mbele alieshika mc ni msanii jose ambaye ndio kiongozi wa kikundi hichi kinachotamba sana jijini hapa

washabiki walikuwa kibao mchanganyiko wageni wazungu pamoja na watoto wenye hasili ya kibantu namaanisha waaafrika walijitokeza kupata raha katika usiku huu wa valentane day uliondaliwa na radio 5

ma dj nao hawakuwa nyuma katika swala zima la kutoa burudani

warembo kibao  usipemeeeeeeeeeeee

wadada wa radio 5 akiwemo mwangaza jumanne pamoja na Tonie kaisoi wakibadilishana mawazo huku wakipata redds

kwa upande wake wa mwasiti nae alimtafuta chid benz wa A-town nae huyu akuwa nyuma kujitokeza

warembo wa A-town walijitokeza kumuunga mkono mwanadada mwasiti


 

 


msanii Linex jana ndio ilikuwa siku yake ya kuzaliwa kwa iyo aliisherekea A-Town na washabiki wake pamoja na wengine sasa mambo yalikuwa hivi mara tu baada ya kuingia jukwaanibaada ya kukata keki aliendelea kuwapa starehe washabiki wake

kaka aibu aliendelea kujilia keki ya mtoto aliyezaliwa siku hiyo na kusahau kuwa alikuwa Mc ilikuwa raha balaaa na yote hayo yamesababishwa na kituo cha radio 5 fm Arusha 105.7 

mdada walibeneke aliamua kuwaunga mkono kigoma all star wakati wakiimba wimbo wao wa kigoma


kigomaaaaaa aeeh kigomae !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!


Shoo hii ya Kigoma All star iliondaliwa siku ya valentane day na kituo cha radio 5 Arusha usipimeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kwa wakazi wa A-town sikilizeni 105 .7 fm

PICHA ZOTE NA ISSA MICHUZI (MICHUZI MATUKIO)

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO