Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira : Gari la Paroko wa Kanisa la Katoliki Minara Miwili Zanzibar, Evarist Mushi muda mfupi baada ya kushambuliwa kwa Risasi na Kufariki jana asubuhi Zanzibar na watu wasiojulikana

Picha juu ni gari alilokua akitumia Paroko wa Kanisa la Katoliki Minara Miwili Zanzibar, Evarist Mushi leo asubuhi likiwa limegonga ukuta muda mfupi baada ya watu wasiojuliakana kumshambulia Paroko Evarist Mushi kwa risasi na kufariki

Gari alilokuwa amepanda Padri Evarist Mushi likiwa limetapakaa damu baada ya kupigwa risasi

Wananchi mmbalimbali zanzibar waki eneo la tukio muda mfupi baada ya gari la  Paroko wa Kanisa la Katoliki Minara Miwili Zanzibar, Evarist Mush kugonga ukuta baada ya kushambuliwa kwa risasi na watu wasiojuliaka leo asubuhi zanzibar na kufariki

Sehemu ya Waumini wakiwa wenye majozi muda mfupi baada ya kupata habari za kifo cha Paroko wao wa  Kanisa la Katoliki Minara Miwili Zanzibar, Evarist Mush kushambuliwa na risasi na watu wasiojulikana leo asubuhi  katika gari lake wakati akienda kuendesha ibada ya saa 3.00

Padri Cosmo Shayo(Kulia)akizungumza na viomgozi wa kanisa kuhusiana na tukio la Paroko wa Kanisa la Katoliki Minara Miwili Zanzibar, Evarist Mush kushambuliwa na risasi na watu wasiojulikana leo asubuhi  katika gari lake wakati akienda kuendesha ibada ya saa 3.00

Picha juu na chini Sehemu ya waumini mbalimbali wakiwa nje ya viwanja vya hospitali ya mnazi mmoja leo asubuhi baada ya Paroko wa Kanisa la Katoliki Minara Miwili Zanzibar, Evarist Mush kushambuliwa na risasi na watu wasiojulikana leo asubuhi  katika gari lake wakati akienda kuendesha ibada ya saa 3.00.

Picha  Adrew Chale na Othman Maulid Othman-Shirika la Magazeti ya Serikali Zanzibar

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO