Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: Jinsi TAIFA Stars Ilivyopambana na Cameroon

 

Kikosi cha timu ya Tanzania-Taifa Stars

Kikosi cha timu ya Cameroon kikiwa katika picha ya pamoja.

Nahoodha wa Taifa Stars, Juma kaseja (wa pili kushoto), nahodha wa Cameroon , Pierre Wome (wa pili kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na waamuzi wa mchezo wao uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Samata akimtoka beki wa kushoto wa timu ya Cameroon, Benoitte Assou-Ekotto  wakati wa mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika kwenye Uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam. Tanzania imeshinda 1-0.

Beki wa timu ya taifa ya Tanzania, Erasto Nyoni akijaribu kumzuia kiungo wa pembeni wa Cameroon, Bedimo Henri wakati wa mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika kwenye Uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam jana.Picha na Dande Francis

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO