Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Dr. JAKAYA KIKWETE KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA NCHINI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wanasheria Februari 6, 2013  katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wanasheria katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji Kiongozi  Mhe Fakihi Jundu, Jaji January Msofe, Spika Anne Makinda, Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Mathias Chikawe na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Saidi Mecky Sadik baada ya kuhutubia katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mahakimu katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mchungaji Christopher Mtikila katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania jijini. Kushoto ni Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman

Viongozi wa dini ya Kihindu wakielekea kwenye kipaza sauti ili kuomba wakati wa  maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania . Viongozi wa dini za Kiislamu na Kiktristo pia walishiriki kwenye maadhimisho hayo.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na majaji wa Mahakama ya Rufaa katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Februari 6, 2013  katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na majaji wakuu wastaafu na viongozi wengine katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa dini pamoja na Naibu Mwanasheria Mkuu  Rais wa Mawakili Februari 6, 2013  katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania. Picha kwa hisani ya IKULU.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO