Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

VIJANA “MASALIA” WALIOTIMULIWA CHADEMA WAJIUNGA NA CCM LEO

Juliana Shonza akijitambulisha kwa wana CCM leo tarehe 12/2/2013, katika Makao Makuu ya CCM,mjini Dodoma

Mtela Mwampamba akijitambulisha kwa wana CCM,wakati wa sherehe za utambulisho wa  wajumbe wa kamati kuu ya CCM.

Mwenyekiti wa CCM-Taifa,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye picha ya pamoja na wanachama wapya  wa CCM,Juliana Shonza na Mtela Mwampamba,kushoto kwenye picha ni Makamu Mwenyekiti CCM-Bara ,Ndugu Philip Mangula na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahaman Kinana.

Mwenyekiti wa CCM-Taifa,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wananchi wa Dodoma wakati wa sherehe za kuipongeza Kamati Kuu iliyochaguliwa jana mjini Dodoma

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO