Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Mtungi wa gesi unapolipuka dukani mteja akifanya manunuzi… tukio la leo Sekei

Katika pitapita yetu, kamera ya Arusha255 ilikutana na tukio la hatari kidogo likihusisha mlipuko wa mtungi mdogo wa gesi kwa sababu na chanzo ambacho hakikujulikana mara moja. Pichani ni mtungi huo ukiendelea kuwaka moto baada ya kusukumiwa mtaroni baada ya kutolewa dukani..

Baadhi ya watu jirani na duka la kuuza gesi ya kupikia wakishangaa mtungi unaoendelea kuteketea kwa moto mtaroni. Mitungi mingine salama inaonekana pichani

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO