Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: Rais Jakaya Kikwete Akifungua Mkutano Mkuu wa Jeshi la Polisi Mjini Dodoma

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akijadiliana jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani Dkt.Emmanuel Nchimbi pamoja na Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi Saidi Mwema muda mfupi baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maofisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Mjini Dodoma jana.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa maofisa waandamizi wa Jeshi  la Polisi ulifanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa mjini Dodoma jana.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Maofisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi muda mfupi baada ya kufungua mkutano wao wa Mwaka uliofanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa Mjini Dodoma jana Jioni,Kauli Mbiu ya mkutano Huo ni” Tujenge Uwezo wa Jamii na Polisi kukabiliana na Vurugu kwa Kuimarisha Utii wa Sheria Bila Shuruti,”.Walioketi Mbele ni.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt.Emmanuel Nchimbi,Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi Saidi Mwema,Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anna Makinda na Naibu Spika Johna Ndugai.Picha na Freddy Maro-IKULU

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO