Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: VIONGOZI WA CHADEMA WALIPOSHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU DR THOMAS LAIZER

Mh Freeman Mbowe akiweka shada la maua juu ya jeneza la Marehemu askofu Thomas Laiser.

 

Kiongozi wa kambi ya Upinzani Bungeni Mh Freeman Mbowe akihutubia kwenye mazishi ya Askofu Laizer.

Mbunge wa Arusha mjini Mh Godbless Lema akihutubia katika mazishi ya Askofu Laizer.

Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa (CCM) akiongea na James Ole Millya (CHADEMA) katika mazishi ya Askofu Thomas Laizer. Picha na Chadema Blog

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO