Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: Basi la UDA ndani ya Jiji la Arusha

DSC08612Kamera yetu ilibahatika kunasa taswira ya basi la kampuni kongwe ya usafiri Dar es Salaam, UDA likikata mitaa ya Jiji la Arusha. Basi hilo linadhaniwa lilisafirisha wageni toka dar es Salaam hadi Jijini hapa kwa ajili ya mikutano mbalimbali inayoendelea hapa.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO