Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TCRA YAZINDUA KAMPENI KUHAMASISHA MATUMIZI MAZURI YA MAWASILIANO KWA NJIA YA MITANDAO.. BLOG, WEBSITE NA FACEBOOKs

8.jpgMkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma akizungumza na wadau mbali mbali wa maswala ya habari hapa nchini wakiwemo wamililiki wa magazeti tando (Blogggers) juu ya kampeni mpya ya kuhamasisha matumizi mazuri ya Mitandao ya Mawasiliano hapa nchini ,iliyofanyika leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es Salaam.
 11.jpg Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Innocent Mungy akifafanua jambo wakati wa Warsha ya siku moja kwa wadau mbali mbali wa maswala ya habari hapa nchini wakiwemo wamililiki wa magazeti tando (Blogggers) juu ya kampeni mpya ya kuhamasisha matumizi mazuri ya Mitandao ya Mawasiliano ,iliyofanyika leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es Salaam.
12.jpg Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma akibonyeza kitufe kwenye Kompyuta ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Wimbo wa kampeni mpya ya kuhamasisha matumizi mazuri ya Mitandao ya Mawasiliano hapa nchini.

 

7.jpg

 

1.jpg Sehemu ya Washiriki wa Warsha hiyo ya kwa wadau mbali mbali wa maswala ya habari hapa nchini wakiwemo wamililiki wa magazeti tando (Blogggers) juu ya kampeni mpya ya kuhamasisha matumizi mazuri ya Mitandao ya Mawasiliano ,iliyofanyika leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es Salaam.19.jpg Msanii wa Muziki wa Kiasili,Mrisho Mpoto akisisitiza jambo juu ya umuhimu wa Mawasiliano Mazuri ya Mitandao wakati wa Warsha ya siku moja kwa wadau mbali mbali wa maswala ya habari hapa nchini wakiwemo wamililiki wa magazeti tando (Blogggers) juu ya kampeni mpya ya kuhamasisha matumizi mazuri ya Mitandao ya Mawasiliano ,iliyofanyika leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es Salaam. 2.jpg Mmoja wa Wamiliki wa Magazeti tando hapa nchini (Blogger),John Bukuku kutoka Full Shangwe Blog akitoa shukrani zake za dhati kwa TCRA ikiwa ni kwa niaba ya Bloggers Wengine baada ya kutambuliwa kuwa ni sehemu ya Vyombo ya Habari hapa nchini.

PICHA NA MITANDAO YA KIJAMII

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO