- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!
Ndege ndogo ya shirika la Tanzanair iliyokuwa ikitokea mjini Bukoba mkoani Kagera kwenda Dar ss Salaam imelazimika kutua kwa dharura katika ziwa Manyara baada ya injini yake moja kuzimika ghafla ikiwa angani. Ndege hiyo ilikuwa na abiria sita na rubani mmoja ambapo wote walijeruhiwa na kukimbizwa katika Hospitali ya Seliani mjini Arusha kwa matibabu jana. PICHA NA MITANDAO
0 maoni:
Post a Comment