Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

‘Birthday Party’ya Mdau Wetu wa Nguvu Glory Kaaya Yabamba….

Jioni ya August 8, 2013 mdau mkubwa wa Blog hii, mwanadada Glory Kaaya aliandaa tafrika fupi na marafiki zake wa karibu katika kuadhimisha tarehe ya kuzaliwa kwake.

Tafrija hiyo ilifanyika nyumbani kwake, Soweto Jijini Arusha na ripota wetu alikuwa mmoja wa waalikwa. Kama picha chache zinavyoonesha hapa chini, tafrija hiyo ilinoga sana!

Jambo la kipekee katika shughuli hiyo ni uwepo wa waalikwa wengi wanachama ama wafuasi wa Chadema kiasi cha kuibua shangwe zilizozima kabisa uwepo wa waalikwa wengine wa vyama vingine ama wsiokuwa na vyama. Pengine ni kutokana na ukweli kwamba Glory Kaaya ni Katibu wa Baraza la Vijana Chadema Wilaya ya Arusha Mjini.. na hata keki aliyoandaliwa ilionekana kuwa na nakshi nakshi za rangi ya chama hicho.

DSC08331Glory Kaaya akikata keki maalumu kusindikiza shughuli hiyo

DSC08351Glory akishow love na nduguze, familia moja kukutana pamoja kama hivi ni raha sana

DSC08305Shangwe zilikuwa kama hivi

DSC08344Dada akimlisha kaka keki

DSC08312Party peopleeee

DSC08356Pongezi! Kutoka kushoto; Glory Kaaya, Neema Kaaya, Zion Issangya na Doreen Don Doris

DSC08224Idara ya makulaji nayo ilikaa vziruri

DSC08225

DSC08257

DSC08247Bossi mzito wa Arusha255 alikuwa miongoni mwa waalikwa na hapa anajihudumia kimiminika akipendacho… HAPPY BIRTHDAY GLORY KAAYA.. BLOG HII INAKUTAKIA MAISHA MEREFU YENYE FURAHA NA AMANI TELE

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO