Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: JAJI MKUU AFUNGUA KONGAMANO LA MAJAJI JIJINI ARUSHA

Jaji mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman akiwa na viongozi wengine katika ufunguzi wa kongamano la majaji wanawake,katika hoteli ya Mount Meru, jijini Arusha.

Jaji mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman akipiga picha ya pamoja na viongozi wengine katika ufunguzi wa kongamano la majaji wanawake jijini Arusha.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO