Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: Mashabiki walivyojaza uwanja wa Sheikh Amri Abeid wakati wa mpambano wa JKT Oljoro na Simba

DSC09320

DSC09313Mechi ya Ligi kuu ya Vodacom baina ya JKT Oljoro ya hapa Arusha na Simba kutoka Jijini Dar es Salaam ilipata bahati ya kuhudhuriwa na mashabiki wengi wa mpira wa miguu katika Jiji hili. Pichani ni jukwaa la upande wa mashariki ambao huwa ni nadra kukaliwa kutokana na uelekeo wa jua likiwa limejaa kama inavyoonekana. Katika mchezo huo Simba iliibuka mshindi kwa goli moja kwa bila.

DSC09327Mashabiki wakiwa wamevamia uwanja na kuchanganyika na wachezaji, makocha na wachezeshaji mpira waliokuwa wakielekea vyumba maalumu mara tu baada ya filimbi ya kumaliza mchezo kulia. Hali kama hii si salama sana kwa wachezaji na viongozi

DSC09321Upande wa jukwaa kuu ukionekana kwa mbali

DSC09322Baadhi ya wapenzi wa mpira waliokuwa juu ya majengo marefu jirani na uwanja walibahataika kupata burudani ya bure kama hivi

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO