Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

MBUNGE VITI MAALUM (CCM) ARUSHA KUPITIA TAASISI YAKE YA CATHERINE FOUNDATION ATOA MKONO WA IDD KWA YATIMA

Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha na Mkurugenzi wa Taasisi ya Catherine Foundation, Catherine Magige akikabidhi msaada wa vyakula na vitu mbalimbali kwa watoto yatima wa kituo cha Help for the Maasai kilichopo kwa Mrefu mkoani Arusha ikiwa ni sehemu ya zawadi za Mkono wa Idd kwa yatima na wasio jiweza.

Catherine (kulia) akizungumza na baadhi ya viongozi na wasimamizi pamoja na watoto wa kituo cha Help for the Maasai kilichopo kwa Mrefu mkoani Arusha.

Watoto wa kituo cha Help for the Maasai kilichopo kwa Mrefu mkoani Arusha walipata zawadi mbalimbali kwaajili ya siku Kuu ya Iddi.

Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Arusha na Mkurugenzi wa Taasisi ya Catherine Foundation, Catherine Magige akiwa katika picha na watoto mara baada ya kutoa msaada wa vyakula na vitu vingine mbalimbali kituo cha Help for the Maasai kilichopo kwa Mrefu mkoani Arusha leo.

Catherine Magige akiwa na Mwandishi wa Channel 10 mjini Arusha, Jamilah Omar.

PICHA ZOTE NA SUFIANI MAFOTO

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO