Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

BAADHI YA MATUKIO KATIKA VIWANJA VYA NANE NANE ARUSHA, KAULI MBIU IKIWA "ZALISHA MAZAO YA KILIMO NA MIFUGO KWA KULENGA MAHITAJI YA SOKO"

The CEO wa Asili yetu Blog na Dj King Davie wa Radio 5

The CEO of Arusha Publicity and the Director of WaZaLeNdo 25 BloG

CEO wa Asili Yetu Blog akizungumza na meneja wa TCRA kanda ya kaskazini Bi. Eng. Annette E. Mahimbo

Haya ni mazao mawili tofauti, kwa nyuma ni Ngano kwa Chapati na kwa mbele iliokauka ni Barley zao la kutengenezea Vilevi tofauti

Mwendeshaji wa kipindi cha Danger zone akimhoji msemaji wa kampuni ya Kibo Seed Co. ltd Bw. Kuria

PICHA ZOTE NA WAZALENDO25

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO