Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Ajali Mbaya Arusha: Scania lenye kontena lagongana uso kwa uso na Fuso darajani

Ajali mbaya imetokea jioni ya leo kwa kuhusisha magari matatu katika daraja la mto Nduruma ambapo gari aina ya Fuso lenye namba T513BHW lililokuwa likitokea Moshi huku limesheheni machungwa kuyapeleka Arusha limegongana uso kwa uso na Scania ambazo namba zake hazikutakinana mara moja.

Hakuna aliyepoteza maisha lakini majeruhi wameumia vibaya.

Eneo la mto Nduruma liliwahi kuongoza kwa ajali hadi kulazimu kuweka matuta makubwa.

Taarifa zaidi, endelea kutembelea Arusha255 (Picha na Emmanuel Arem)

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO