Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

RAIS OBAMA ASHUHUDIA MAREKANI IKIFUZU HATUA YA MTOANO KOMBE LA DUNIA AKIWA ANGANI

Flying high: Obama watched the game from his airplane as USA progressed to the knockout rounds

Akiwa angani: Obama akitazama mechi ya mwisho ya Marekani dhidi ya Ujerumani akiwa kwenye ndege yake.

RAIS wa Marekani, Barack Obama ameonesha jinsi gani kombe la dunia ni muhimu kwa taifa lake baada ya kuamua katazama mchezo wa mwisho wa kundi G dhidi ya Ujerumani akiwa kwenye ndege yake binafsi.

Obama alikuwa anasafiri kwa ndege kutoka   Maryland  kwenda  Minnesota  wakati Marekani ikicheza mchezo muhimu na alihakikisha hakosi mchezo huo kupitia matangazo ya moja kwa moja kwenye luninga iliyopo kwenye ndege yake.

Flying high: Obama watched the game from his airplane as USA progressed to the knockout rounds

Kitu kwa anga: Obama akitazama mechi ya Marekani na kushuhudia taifa lake likifuzu hatua ya 16.

New fans: 'Soccer' has seen an explosion of popularity during the tournament both in the US and Brazil

Mashabiki wa timu ya taifa ya Marekani walishangilia timu yao wakiwa kote Marekani na Brazil.

Only goal: Thomas Muller's strike meant defeat for the United States but they qualified nonetheless

Goli moja: Thomas Muller alifunga bao moja pekee la ushindi, lakini nchi zote zimefuzu.

Kikosi cha Mjerumani, Jurgen Klinsmann kilipoteza mechi kwa goli la Thomas Muller, lakini kimefuzu hatua ya mtoano kwa wastani mzuri wa mabao ya kufunga na kufungwa dhidi ya Ureno.

KWA HISANI YA RWEYEMAMU INFO BLOG

Washirikishe Google Plus

About Ujenzi Connekt

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO