Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: JUKWAA LA PILI LA BIASHARA KATI YA CHINA NA TANZANIA.

PIX 1.Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mizengo Pinda akihutubia viongozi mbalimbali wakiwemo wafanyabiashara maarufu wa ndani na nje ya nchi katika Jukwaa la Pili la biashara kati ya Tanzania na China lililofanyika leo katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Jijini Dar es Salaam.
PIX 2.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Li Yuanchao akiwahutubia baadhi ya viongozi mbalimbali wakiwemo wafanyabiashara maarufu wa ndani na nje ya nchi katika Jukwaa la Pili la biashara kati ya Tanzania na China lililofanyika leo katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Jijini Dar es Salaam.PIX 4.Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Dkt. Reginard Mengi akitoa hotuba yake fupi kwa viongozi mbalimbali wakiwemo wafanyabiashara maarufu wa ndani na nje ya nchi katika Jukwaa la Pili la biashara kati ya Tanzania na China lililofanyika leo katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Jijini Dar es Salaam.PIX 5.Baadhi ya wajumbe wakiwemo wafanyabiashara maarufu wa ndani na nje ya nchi wakifatilia hotuba zitolewazo na viongozi kuhusiana na maendeleo makubwa ya kibiashara yafanywayo na Serikali ya Tanzania na ya Jamhuri ya Watu wa China leo katika katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Jijini Dar es Salaam.PIX 6.Viongozi kutoka Serikali ya China na Tanzania wakitiliana saini mikataba ya makubaliano  inayohusu miradi ya maji yenye lengo ya kuisaidia Tanzania katika sekta ya maji wakati wa Jukwaa la Pili la biashara kati ya Tanzania na China lililofanyika leo katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Jijini Dar es Salaam.PIX 7.Viongozi kutoka Serikali ya China na Tanzania wakitiliana saini mikataba ya makubaliano  inayohusu miradi ya maji yenye lengo ya kuisaidia Tanzania katika sekta ya maji wakati wa Jukwaa la Pili la biashara kati ya Tanzania na China lililofanyika leo katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Jijini Dar es Salaam.PIX 8.Viongozi kutoka Serikali ya China na Tanzania wakibadilishana mikataba mara baada ya kutiliana saini leo katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Jijini Dar es Salaam.PIX 9.Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mizengo Pinda (kulia) akimshukuru Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Li Yuanchao (kushoto) mara baada ya kukabidhi pikipiki kwaajili ya Jeshi la Polisi Tanzania leo baada ya kukamilisha mkutano wa Jukwaa la Pili la biashara kati ya China Tanzania lililofanyika leo katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Jijini Dar es Salaam.PIX 10.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Li Yuanchao (wa saba toka kushoto, mstari wa mbele waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na mwenyeji wake Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mizengo Pinda (katikati) walipokutana leo baada ya kukamilisha mkutano wa Jukwaa la Pili la biashara kati ya China Tanzania lililofanyika leo katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Jijini Dar es Salaam.
PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-MAELEZO.
Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO