Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Breaking News: Shambulizi Jingine la Kigaidi Laua 10 Mpeketoni Lamu, Kenya

Shambulizi lengine limetokea katika eneo la
Mpeketoni karibu na Lamu , pwani ya Kenya na
kusababisha vifo vya watu 10.
Shambulizi la leo limetokea siku moja tu baada
ya Al Shabaab kukiri kufanya mashambulizi
yaliyowaua watu 50 Jumatatu.
Polisi wanasema kuwa washambuiaji hao
walivamia kijiji kimoja usiku kucha.
Kundi la Al Shabaab lilikiri kufanya mashambulizi
hayo na kuambia shirika la Reuters kuwa
operesheni yao ya mashambulizi itaendelea
nchini Kenya.
Takriban watu 50 waliuawa katika mashambulizi
yaliyofanyika usiku wa kuamkia Jumatatu huku
washambuliaji wakishambulia hoteli na kituo cha
polisi pamoja na kuteketeza magari.

Chanzo: BBC Swahili

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO