Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Utamu wa 'Pilipili' ni mwasho wake..

Moja kati ya maswala ya kustaajabisha ni 'utamu' utokanao na kionjo pilipili katika kutengeneza ladha ya chakula mdomoni.

Wapo watu ambao mwasho mkali wa pilipili ndio raha yao kwenye chakula. Wengine huwaletea matatizo wakitumia.

Bosi mzito wa Blog hii ni mtumiaji mzuri wa pilipili lakini zaidi harufu yake..

Pilipili azipendazo zaidi ni zile wanaita 'pilipili mbuzi' kama ambavyo zinaonekana pichani..na bosi hiyo akishangaa mmea wake.

Ni rahisi kuotesha nyumbani na ukawa unatumia taratibu wakati wa mahitaji.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO