Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira ya Ajira: Foleni ya wasailiwa 10,000 kwa nafasi 70 za ajira Uhamiaji

Vijana walioelezwa kufikia zaidi ya 10800 wakiwa kwenye foleni ya Usaili  katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaa mapema asubuhi ili kuweza kupatikana vijana 70 tu wa kupewa ajira Idara ya Uhamiaji.

Picha hizi kutoka kwa mdau wetu zinasimulia zaidi. Unaweza kuhisi ugumu uliopo kuwahoji watu wote hawa kwa nafasi chache zinazohitajika.

Pia inaweza kuwasilisha hisia kuhusiana na ubora wa elimu yetu nchini kama inakidhi viwango, na halikadhalika tatizo la ajira kwa wasomi wetu na uhalisia wake.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO