Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Ulawiti Njiro: Kijana abambwa akitaka kumlawiti mvulana wa miaka 12

Pichani ni kijana akiwa na pingu baada ya kukamatwa akijaribu kumfanyia vitendo vya ulawito mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 12, maeneo ya Njiro jioni ya leo. Baadhi ya wananchi wenye hasira walitaka kumshuhia kipondo Picha nyingine ndogo ni mtoto huyo aliyekuwa akijaribiwa kufanyiwa kitendo kibaya

Taarifa zaidi tutakujuza baadae kidogo. Endelea kitembelea Arusha255. Picha na Dj Sek/Bertha Mollel

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO