Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Uchafu ni tabia... Ona miundo mbinu mipya ilivyoanza kuharibiwa kwa uchafu wa makusudi

Picha hii imechukuliwa maeneo ya Tegeta Sokoni katika Jiji la Dar es Salaam ambapo upanuzi mkubwa wa barabara ya Bagamoyo unaelekea ukingoni. Ujenzi wa barabara hiyo umejumuisha na uwekaji mitaro pembezoni kwa ajili ya kusafirisha maji hasahasa ya mvua kuelekea mtoni.

Jambo la ajabu, wafanyabiashara walio kandokando ya barabara hiyo samabamba na wateja wao wamejikuta wanasahau jukumu la kuhakikisha mitaro hiyo inafanya kazi iliyokusudiwa na badala yake wameigeuza eneo la kutupia taka za aina tofauti.
Blog hii inaona jambo hili si la uzembe wa Halmashauri bali ni tabia za uchafu za watu binafsi...

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO