Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

OFA: Makampuni yanakaribishwa Sokoine Marathon "Corporate Team Challenge"

OFA MONDULI

Kama njia ya ushirikiano na makampuni ambayo huwa inakuwa mstari wa mbele kudhamini michezo; Tunayo furaha kukaribisha kampuni zenye kutaka kushiriki na kutangaza bidhaa zao.

Kwa watakaokidhi masharti wataruhusiwa kuweka HEMA la mauzo na matangazo ya bidhaa zao. Michezo ni kila kitu ikiwemo elimu, afya, ajira, biashara, utalii, diplomasia Uzalendo etc.
Karibuni sana watanzania wote.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO