Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Arsenal Yatinga Fainali ya FA baada ya kuitoa Wigan kwa mikwaju ya penali kufuatia droo ya 1-1

arsenal to fa finalMechi ya FA Cup iliyopigwa jioni ya April 12 2014 katika uwanja wa Wembley imewapa nafasi Arsenal kufika fainali baada ya kutoka droo kwenye goli walilosawazisha kwenye kipindi cha pili na kufanya matokeo kuwa 1-1.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO