Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Picha Kutoka IKULU:Rais Jakaya Kikwete Amtunuku Nishani ya Kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano (Daraja la Kwanza) Waziri Mkuu Mstaafu ambaye pia alikuwa Mwenyekiti Tume Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba IKULU Jijini Dar es Salaam

10173765_10203133972086650_171852527314619781_n

Rais Kikwete akimtunuku Nishani ya Kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano (Daraja la Kwanza) Waziri Mkuu Mstaafu ambaye pia alikuwa Mwenyekiti Tume ya kurekebisha Katiba Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba wakati wa sherehe hizo zilizofanyika katika ukumbi wa mikutano,Ikulu jijini Dar es Salaam.

Picha na Freddy Maro-IKULU

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO