Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

KUMBUKUMBU YA MIAKA 30 YA KIFO CHA SOKOINE YAWAKUTANISHA JOSHUA NASSARI NA SIOI NASSARI WILAYANI MONDULI

nASSARI NA sIOI

Mbunge wa Arumeru Mashariki kupitia CHADEMA, Mh Joshua Nassari (mwenye kombati nyeusi) akizungumza na aliyekuwa mshindani wake wakati wa kuwania ubunge huo mwaka juzi, kutoka CCM, Bw Sioi Summari (aliyevaa shuka la kimasai)wakibadilishana mawazo maeneo ya Monduli walipokutana uso kwa uso katika maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 30 tangia kufariki kwa aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Hayati Moringe Sokoine.

Moja ya mambo waliyojadiliana ni pamoja na umuhimu wa kuacha tofauti zao za kisiasa na kushirikiana Jimboni kusaidia maendeleo ya Jimbo lao.

Picha: Woinde Shizza

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO