Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Riwaya ya Huba, kupatikana Kuanzia Mei 10, 2014

HABARI za siku tele?

Ni muda mrefu umepita sijaandika humu. Ukimya wangu haukuwa bure.  Nilikuwa jikoni nikiandaa pishi.

Sasa pishi limeiva.  Ni riwaya ya HUBA.  Kama lilivyo jina la kitabu, ni simulizi yenye mkasa wa mapenzi. Yumo Zedi. Yumo July. Yumo Rose. Hawa wanashiriki kizungumkuti cha Huba.

Wamo Jerry na Shania. Marafiki wa kweli daima.

Ni Huba.

Kitakuwa tayari panapo Mei 10, 2014.

Usikose nakala yako kwa kuwasiliana nami katika 0715 599 646 ama fadhymtanga@gmail.com

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO