Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

BASI LA AM LAMGONGA MWENDESHA BAISKELI ENEO LA MAJENGO ARUSHA NA KUMUUMIZA VIBAYA

Ajali mbaya imetokea hapa Mkoani Arusha eneo la Majengo Ambapo Basi Limemgonga Mwendesha Baiskeli na Kumuumiza Vibaya kama picha inavyoonesha.

akiwa ameumia vibaya Mguuni baada ya kugongwa na Basi hilo

Picha na Arusha yetu Blog

Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO