Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Hawa ndio washindani wa Tuzo za Watu 2015

Majina yatakayowania Tuzo za Watu 2015 yatangazwa
Majina yaliongia kwenye hatua ya tano bora kwenye Tuzo za Watu 2015 yametangazwa rasmi Ijumaa hii.
Hiyo ni baada ya siku kadhaa za kuhesabu mapendekezo yaliyokuwa yakitumwa na wananchi kwa kipindi cha wiki tatu tangu kuzinduliwa kwa tuzo hizo.
Zoezi la kupiga kura linafunguliwa rasmi Jumamosi hii, April 24.
Haya ndio majina matano yaliyoingia kwenye tano bora:

Mtangazaji wa redio anayependwa TZW1
Dida – Times FM
D’Jaro Arungu – TBC FM
Diva – Clouds FM
Mariam Kitosi – Times FM
Millard Ayo – Clouds FM

Kipindi cha redio kinachopendwa TZW2
Ala za Roho – Clouds FM
Amplifaya – Clouds FM
Hatua Tatu – Times FM
Papaso – TBC FM
XXL – Clouds FM


Mtangazaji wa runinga anayependwa TZW3
Abdallah ‘Dullah’ Ambua - EATV Salama Jabir – EATV/Maisha Magic
Salim Kikeke – BBC Swahili
Sam  Misago – EATV


Zamaradi Mketema – Clouds TV
Kipindi cha runinga kinachopendwa TZW4
Friday Night Live – EATV
In My Shoes – EATV
Mkasi – EATV
Planet Bongo – EATV
Take  One – Clouds TV

Blog/Website inayopendwa TZW5
djchokamusic.com
issamichuzi.blogspot.com
jamiiforums.com
millardayo.com
timesfm.co.tz


Muongozaji wa video anayependwa TZW6
Abby Kazi
Adam Juma
Khalfan
Hanscana
Nisher


Muongozaji wa filamu anayependwa TZW7
Jacob 'JB'  Stephen
Leah Mwendamsoke
Timothy  Conrad
Vincent ‘Ray'  Kigosi
William Mtitu


Muigizaji wa kike wa filamu anayependwa TZW8
Elizabeth 'Lulu'  Michael
Irene  Uwoya
Jacqueline  Wolper
Riyama  Ally
Wema Sepetu


Muigizaji wa kiume wa filamu anayependwa TZW9
Hemedi  Suleiman
Jacob   'JB'   Stephen Mzee
King Majuto
Salim ‘Gabo’ Ahmed
Vincent  'Ray' Kigosi


Mwanamuziki wa kike anayependwa TZW10
Lady  Jaydee
Linah
Mwasiti
Shilole
Vanessa  Mdee

Mwanamuziki wa kiume anayependwa TZW11
Alikiba
Barnaba
Diamond  Platnumz
Jux
Ommy Dimpoz


Filamu inayopendwa TZW12
Chausiku
Kigodoro
Madam
Mshale wa Kifo
Sunshine


Video ya muziki inayopendwa TZW13
Akadumba -  Nay  wa Mitego
Kipi Sijasikia – Profesa Jay Nani kama Mama – Christian Bella f/ Ommy Dimpoz Wahalade -  Barnaba
XO - Joh  Makini

Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO