Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

RAIS KIKWETE AZINDUA KOZI MAALUMU YA MAADILI NA UONGOZI, AMSIMIKA MZEE MSEKWA KUWA MWENYEKITI WA KIBWETA CHA MWALIMU NYERERE

 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua kitabu cha Programu ya Uongozi na Maadili  katika Chuo cha Kumbukumbu ya Nyerere Kigamboni jijini Dar es salaam leo. Kushoto kwake  ni Waziri wa Elimu Dkt Shukuru Kawambwa na kulia kwake ni Mkuu wa Chuo hicho Profesa Shadrack Mwakalila.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsimika rasmi Mzee Pius Msekwa kuwa Mwenyekiti wa Kibweta cha Mwalimu Nyerere cha Uongozi na  Maadili wakati wa uzinduzi wa Kozi Maalum ya Maadili na Uongozi katika Chuo cha Kumbukumbu ya Nyerere Kigamoni jijini Dar es salaam leo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza  Mzee Pius Msekwa akitoa shukurani baada ya kusimikwa rasmi kuwa Mwenyekiti wa Kibweta cha Mwalimu Nyerere cha Uongozi na  Maadili wakati wa uzinduzi wa Kozi Maalum ya Maadili na Uongozi katika Chuo cha Kumbukumbu ya Nyerere Kigamoni jijini Dar es salaam leo. Kushoto kwake  ni Waziri wa Elimu Dkt Shukuru Kawambwa na kulia kwake ni Mkuu wa Chuo hicho Profesa Shadrack Mwakalila.

Rais Jakaya Mrisho Meza kuu akiwa imesimama na meza kuu  kuimba wimbo wa Taifa baada ya uzinduzi wa Kozi Maalum ya Maadili na Uongozi katika Chuo cha Kumbukumbu ya Nyerere Kigamoni jijini Dar es salaam leo. Kushoto kwake  ni Waziri wa Elimu Dkt Shukuru Kawambwa na kulia kwake ni Mkuu wa Chuo hicho Profesa Shadrack Mwakalila.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akielekea kwenye uwanja wa shughuli tayari kuzindua Kozi Maalum ya Maadili na Uongozi katika Chuo cha Kumbukumbu ya Nyerere Kigamoni jijini Dar es salaam leo. Pamoja naye ni Mkuu wa Chuo hicho Profesa Shadrack Mwakalila.

PICHA NA IKULU

Washirikishe Google Plus

About Ujenzi Connekt

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO