Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

CHADEMA NOMAAA!! HEBU ANGALIA JINSI WALIVYOFUNIKA HUKO ITILIMA MKOANI SIMIYU

Maelfu ya wananchi wakimsikiliza Mwenyekiti wa CHADEMA  Taifa Freeman Mbowe kijijini Lagangabili jimbo la Itilima mkoani Simiyu  leo jioni wakati wa uzinduzi wa FTP 200 ambao ni mpango wa ulinzi wa kura-Picha zote na mpiga maalumu wa Malunde1 blog

Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo  (CHADEMA) Freeman Mbowe akiwahutubia  wananchi wa wilaya ya Itilima katika Mkutano wa hadhara ulifanyika katika viwanja vya Lagangabili makao makuu ya ya wilaya

Mkutano unaendelea

Mkutano unaendelea

CHANZO: MALUNDE 1 BLOG

Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO