Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: Ziara ya Mbowe Mjini Bukoba Kuzindua FTP 200

Mbowe 1 Bk

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, akihutubia mamia ya wakazi wa Mji wa Bukoba mkoani Kagera, katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Mashujaa juzi.

Mratibu Chadema

Mratibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Ziwa Victoroia, Renatus Bujiku, akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Mashujaa mjini Bukoba mkoani Kagera
(Picha na CHADEMA)

Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO