Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

THE NYAMA CHOMA FESTIVAL–ARUSHA APRILI 25 VIWANJA VYA NANE NANE JIRO

NCF ARU APR IG v3

NCF ARU APR v7

Tamasha la Nyama Choma linakuja tena jijini Arusha, tutafurahia Nyama Choma kutoka kwa wataalam tofauti pamoja na burudani kutoka kwa Nakaaya And Band, DJ-K3, Foosball, Belly Dancing, Pool Table, BMX Athletic Driver, Michezo Ya Watoto. Tamasha litafanyika Jumamosi ya tarehe 25/04/2015 katika viwanja vya Nane Nane - Njiro kuanzia saa 6 mchana na kiingilio ni Tshs. 10,000 kwa wakubwa na watoto wataingia BURE!
'Welcome To Our Meat World'

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO