Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Zitto ataka wananchi wahoji wabunge wao walichowafanyia.

zitto

Kiongozi Mkuu wa ACT–Tanzania, Zitto Kabwe amewataka watanzania kuwapima wabunge wao kwa kazi walizofnya majimboni na sio maneno majukwaani. Ameyasmea hayo kwtika viwanja vya Mwembetogwa Iringa Mjini jana. Zitto anaendeleza na ziara ya nchi nzima kujitangaza na chama chake kipya baada ya kufukuzwa CHADEMA akidaiwa kushiriki njama za kukihujumu chama ikiwemo kuanzisha chama kingine akiwa mwanachama wa Chadema.

anna

Mwenyekiti wa ACT ambaye hana mamlaka juu ya Kiongozi Mkuu wa chama, Anna Mghwira akizungumza

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO