Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

PICHA KUTOKA MAKAMBAKO: SALUM MWALIM NA JOSHUA NASSARI WALIVYOPOKELEWA MAKAMBAKO

Josh na Mwalimu

Pichani ni Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari katika Meza Kuu na NKMZ Mh Salum Mwalimu mjini Makambako. Picha  nyingine zikiwaonesha Naibu Katibu Mkuu Zanzibar (CHADEMA) Mh Salum Mwalimu na Mbunge wa Arumeru Magharibi Joshua Nassari wakihutubia wananchi wa Makambako, mkoani Njombe kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jana (juzi) kwenye Uwanja wa Azimio, ikiwa ni sehemu ya operesheni ya mafunzo kwa viongozi kukiandaa chama kwenda kushinda dola na kuongoza serikali

Nassari na Salum Mwalimu wapo Nyanda za Juu Kusini ,  ambapo kulifanyika mikutano kama huo Njombe na Songea, na jana ilikuwa zamu ya Makambako kwa pamoja na Naibu Katibu Mkuu Chadema Zanzibar Kamanda Salum Mwalimu.

Chadema wamejitawanya maeneo mbali mbali ya nchi. Katibu Mkuu, Dr Slaa yupo Morogoro, Mwenyekiti Mbowe yupo Kanda ya Ziwa Magharibi, Naibu Katibu Mkuu Bara na Mbunge wa Ubungo Mh John Mnyika yupo Kanda ya Serengeti,wakati Makamu Mwenyekiti Prof Safari na timu yake wapo Kanda ya Kaskazini. Viongozi wengine wako ameneo tofauti tofauti mikoani.  

Kupitia Ukurasa wake wa Facebook, Mh Nassari amewashukuru sana wananchi wa Makambako kwa kujitokeza kwa wingi na kuchangia sadaka ili waweze kuendelea na ziara hiyo.

BILD4940

NKMZ Salum Mwalimu akimkaribisha Nassari Jukwaani

Josh anaenda Jukwaani

Nassari akielekea Jukwaani kuhutubia

BILD4938

BILD4931

Joshua Nassari akizungumza na wananchi wa Makambako, hawaonekani pichani

BILD4961

BILD4947

NKMZ Salum Mwalimu akisalimiana na wananchi wa Makambako.

BILD4921

Kamanda wa Chadema ambaye ina lake halikupatikana haraka akizungumza na wananchi katika mkutano huo

BILD4958

BILD4908

Kasambala

 

BILD4896

BILD4898

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO