Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Bloga Wanachama TBN, Clouds FM Watembelea PSPF

IMG_0214

Ofisa Uhusiano wa Mfuko wa PSPF, Abdul Njahidi (kulia) akiwaonesha
baadhi ya wawakilishi wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa
Clouds FM baadhi ya tuzo walizozitwaa kutokana na huduma bora wanazozitoa
kwa wateja wao. Ofisa Uhusiano wa Mfuko wa PSPF, Abdul Njahidi (kulia) akiwaonesha baadhi ya wawakilishi wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM baadhi ya tuzo walizozitwaa kutokana na huduma bora wanazozitoa kwa wateja wao.Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa PSPF, Adam Mayingu (mbele) akizungumza
wakati baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network walipotembelea
ofisi hizo jijini Dar es Salaam. Wengine ni baadhi ya maofisa wa PSPF. Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa PSPF, Adam Mayingu (mbele) akizungumza wakati baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network walipotembelea ofisi hizo jijini Dar es Salaam. Wengine ni baadhi ya maofisa wa PSPF.Mkurugenzi wa Uendeshaji PSPF, Neema Muro (kulia) akizungumza wakati
baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network walipotembelea ofisi hizo
jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Uendeshaji PSPF, Neema Muro (kulia) akizungumza wakati baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network walipotembelea ofisi hizo jijini Dar es SalaamBaadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji
wa Clouds FM wakiwa mkutanoni na maofisa wa mfuko wa PSPF wakati
walipotembelea ofisi hizo jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM wakiwa mkutanoni na maofisa wa mfuko wa PSPF wakati walipotembelea ofisi hizo jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi wa Uendeshaji PSPF, Neema Muro (kulia) akizungumza wakati
baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network walipotembelea ofisi hizo
jijini Dar es Salaam. Wengine ni baadhi ya maofisa wa PSPF. Mkurugenzi wa Uendeshaji PSPF, Neema Muro (kulia) akizungumza wakati baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network walipotembelea ofisi hizo jijini Dar es Salaam. Wengine ni baadhi ya maofisa wa PSPFIMG_0158Mkutano kati ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN),
watangazaji wa Clouds FM pamoja na maofisa wa mfuko wa PSPF ukiendelea. Mkutano kati ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN), watangazaji wa Clouds FM pamoja na maofisa wa mfuko wa PSPF ukiendelea.Mmoja wa maofisa wa mfuko wa PSPF akitoa ufafanuzi Wakati baadhi ya
wawakilishi wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM
walipotembelea makao makuu ya ofisi hizo jijini Dar es Salaam. Mmoja wa maofisa wa mfuko wa PSPF akitoa ufafanuzi Wakati baadhi ya wawakilishi wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM walipotembelea makao makuu ya ofisi hizo jijini Dar es SalaamMkutano kati ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN),
watangazaji wa Clouds FM pamoja na maofisa wa mfuko wa PSPF ukiendelea. Mkutano kati ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN), watangazaji wa Clouds FM pamoja na maofisa wa mfuko wa PSPF ukiendeleOfisa Uhusiano wa Mfuko wa PSPF, Abdul Njahidi (kulia) akiwaonesha
baadhi ya wawakilishi wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa
Clouds FM baadhi ya tuzo walizozitwaa kutokana na huduma bora wanazozitoa
kwa wateja wao. Ofisa Uhusiano wa Mfuko wa PSPF, Abdul Njahidi (kulia) akiwaonesha baadhi ya wawakilishi wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM baadhi ya tuzo walizozitwaa kutokana na huduma bora wanazozitoa kwa wateja wao.Baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji
wa Clouds FM wakiwa mkutanoni na maofisa wa mfuko wa PSPF wakati
walipotembelea ofisi hizo jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM wakiwa mkutanoni na maofisa wa mfuko wa PSPF wakati walipotembelea ofisi hizo jijini Dar es SalaamBaadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji
wa Clouds FM wakiwa kwenye kitengo cha uhifadhi kumbukumbu kwa mfumo wa
kisasa kupata maelezo namna kumbukumbu za wanachama zinavyohifadhiwa. Baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM wakiwa kwenye kitengo cha uhifadhi kumbukumbu kwa mfumo wa kisasa kupata maelezo namna kumbukumbu za wanachama zinavyohifadhiwa.Mmoja wa watangazaji kutoka Clouds FM, Gerald Hando akiuliza swali
kwenye kitengo cha uhifadhi kumbukumbu kwa mfumo wa kisasa kupata maelezo
namna kumbukumbu za wanachama zinavyohifadhiwa. Mmoja wa watangazaji kutoka Clouds FM, Gerald Hando akiuliza swali kwenye kitengo cha uhifadhi kumbukumbu kwa mfumo wa kisasa kupata maelezo namna kumbukumbu za wanachama zinavyohifadhiwa.Mkurugenzi wa Uendeshaji PSPF, Neema Muro (kushoto) akitoa ufafanuzi
wakati baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network walipotembelea
ofisi hizo jijini Dar es Salaam. Wengine ni baadhi ya maofisa wa PSPF. Mkurugenzi wa Uendeshaji PSPF, Neema Muro (kushoto) akitoa ufafanuzi wakati baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network walipotembelea ofisi hizo jijini Dar es Salaam. Wengine ni baadhi ya maofisa wa PSPF.Baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji
wa Clouds FM wakiingia kwenye kitengo cha uhifadhi kumbukumbu kwa mfumo wa
kisasa. Baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM wakiingia kwenye kitengo cha uhifadhi kumbukumbu kwa mfumo wa kisasa.

Baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji
wa Clouds FM wakiwa kwenye kitengo cha uhifadhi kumbukumbu kwa mfumo wa
kisasa kupata maelezo namna kumbukumbu za wanachama zinavyohifadhiwa. Baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM wakiwa kwenye kitengo cha uhifadhi kumbukumbu kwa mfumo wa kisasa kupata maelezo namna kumbukumbu za wanachama zinavyohifadhiwa.Baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji
wa Clouds FM wakiwa kwenye kitengo cha uhifadhi kumbukumbu kwa mfumo wa
kisasa kupata maelezo namna kumbukumbu za wanachama zinavyohifadhiwa. Baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM wakiwa kwenye kitengo cha uhifadhi kumbukumbu kwa mfumo wa kisasa kupata maelezo namna kumbukumbu za wanachama zinavyohifadhiwaBaadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji
wa Clouds FM wakiwa katika moja ya jengo refu kupita yote nchini Tanzania
ambalo limejengwa kama kitega uchumi na mfuko wa PSPF, jengo hilo lina eneo
maalumu la shughuli za biashara na makazi. Baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM wakiwa katika moja ya jengo refu kupita yote nchini Tanzania ambalo limejengwa kama kitega uchumi na mfuko wa PSPF, jengo hilo lina eneo maalumu la shughuli za biashara na makaziBaadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji
wa Clouds FM wakiwa katika moja ya jengo refu kupita yote nchini Tanzania
ambalo limejengwa kama kitega uchumi na mfuko wa PSPF, jengo hilo lina eneo
maalumu la shughuli za biashara na makazi. Baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM wakiwa katika moja ya jengo refu kupita yote nchini Tanzania ambalo limejengwa kama kitega uchumi na mfuko wa PSPF, jengo hilo lina eneo maalumu la shughuli za biashara na makazi.Muonekano wa taswira ya jiji la Dar es Salaam ukiwa katika jengo refu
kupita yote nchini Tanzania ambalo limejengwa kama kitega uchumi na mfuko
wa PSPF, jengo hilo lina eneo maalumu la shughuli za biashara na makazi. Muonekano wa taswira ya jiji la Dar es Salaam ukiwa katika jengo refu kupita yote nchini Tanzania ambalo limejengwa kama kitega uchumi na mfuko wa PSPF, jengo hilo lina eneo maalumu la shughuli za biashara na makazi.Muonekano wa taswira ya jiji la Dar es Salaam ukiwa katika jengo refu
kupita yote nchini Tanzania ambalo limejengwa kama kitega uchumi na mfuko
wa PSPF, jengo hilo lina eneo maalumu la shughuli za biashara na makazi. Muonekano wa taswira ya jiji la Dar es Salaam ukiwa katika jengo refu kupita yote nchini Tanzania ambalo limejengwa kama kitega uchumi na mfuko wa PSPF, jengo hilo lina eneo maalumu la shughuli za biashara na makazi

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
Blogger Comment
Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO