Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: MKUTANO WA ACT SONGEA

 

Picha Kiongozi Mkuu wa ACT Tanzania Ndugu Zitto Z.Kabwe akihutubia umati mkubwa wa wana Songea waliohudhuria kumsikiliza,ikiwa ni ziarayake ya kwanza toka ang'atuke katika chama cha CHADEMA.

Picha Hapa ni Mapokezi ya Viongozi wa Kitaifa wa chama cha ACT Wazalendo Mkoani Songea

Afande Sele akisalimia wanamkutano

Viongozi wa Kitaifa ACT Wazalendo


Wanasongea wakiwa kwenye mkutano wa chama cha ACT Wazalendo hii leo

Wanahabari wakiwahoji viongozi

M/kiti wa ACT Wazalendo Tanzania Bara akisalimia na kuongea na wanamkutano

Wana Songea wakisikiliza hotuba

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO