Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Ndesamburo Apendekeza Mrithi wake Moshi Mjini

Ndesa

Hatimaye Mbunge wa Moshi Mjini Mzee Philemon Ndesamburo amemtanga rasmi Meya wa manispaa ya Moshi Ndg Michael Japhary kuwa mrithi wa kiti chake cha Ubunge wa Moshi Mjini 2015.

Meya Michael Japhari ni Diwani wa kata ya Bomambuzi ambaye ameiongoza manispaa ya Moshi kwa uadilifu na mafanikio makubwa.

Meya Japhary pia ni Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Moshi Mjini ambapo amefanikiwa kuwaongoza wana Chadema wa Moshi Mjini kushinda mitaa 31 dhidi ya 29 ya CCM na hatimae kuifanya Chadema kuwa chama tawala Moshi Mjini.

Picha na Maelezo: Kwa hisani ya Diwani Hawa Ally wa Moshi Mjini (CHADEMA)

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO