Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

EAC -EABC MEDIA AWARDS 2015 KATIKA PICHA DAR ES SAALAM SERENA HOTEL; FILBERT RWEYEMAMU APATA TUZO

Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dk Reginald Mengi akimkabidhi Tuzo ya kuwa Mpigapicha bora nafasi ya pili(Insirational Photography Award),Filbert Rweyemamu(kushoto)kutoka gazeti la Mwananchi  katika mashindano yaliyoandaliwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)na Baraza la Wafanyabiashara wa Afrika Mashariki(EABC)wa pili kushoto ni Katibu Mkuu wa EAC,Dk Richard Sezibera na kulia ni Mwenyekiti wa EABC,Felix Mosha hafla ilifanyika Dar es Salaam Serena Hotel.

Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dk Reginald Mengi akimkabidhi Tuzo ya kuwa Mwandishi bora nafasi ya pili katika masuala ya kisiasa(Political Federation Reporting Award) mwandishi mkongwe wa gazeti la The Citizen,Zephania Ubwani(kushoto)katika mashindano yaliyoandaliwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)na Baraza la Wafanyabiashara wa Afrika Mashariki(EABC)wa pili kushoto ni Katibu Mkuu wa EAC,Dk Richard Sezibera na kulia ni Mwenyekiti wa EABC,Felix Mosha hafla ilifanyika Dar es Salaam Serena Hotel.

Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dk Reginald Mengi akimpongeza kabla ya kumkabidhi Tuzo ya mwandishi wa habari wa gazeti la Newtimes la Rwanda,James Karuhanga alieshinda kama Mwandishi bora wa habari za Siasa(Political Federation Reporting Award) wa pili kushoto ni Katibu Mkuu wa EAC,Dk Richard Sezibera na kulia ni Mwenyekiti wa EABC,Felix Mosha hafla ilifanyika Dar es Salaam Serena Hotel.

Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dk Reginald Mengi akimkabidhi Tuzo ya kuwa Mwandishi bora nafasi ya pili katika masuala ya biashara(Business Award)Dorothy Nakaweesi wa gazeti la Monitor nchini Uganda.

Waandishi wa habari kutoka kampuni tanzu ya Nationa Media Group(NMG)kutoka nchi za Tanzania,Uganda na Kenya waliozoa Tuzo kwa kuandika habari bora juu ya Mtengamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)

Mpigapicha bora ambaye ni mwandishi wa gazeti la Standard,Maxwell Agwanda akipokea Tuzo kutoka kwa Mwenyekiti wa IPP,Dk Reginald Mengi.

Katibu Mkuu wa EAC,Dk Richard Sezibera akitoa nasaha zake.

Mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo kwa waandishi wa habari kutoka nchi za Afrika Mashariki,Dk Regnald Mengi akitoa hotuba yake ambayo ilisisitiza uhuru wa vyombo vya habari.

Balozi wa Ujerumani nchini,Egon Kochanke akizungumza katika hafla hiyo.

Wageni maarufu wakifatilia burudani iliyokua ikitolewa ukumbini.


Picha na FILBERT RWEYEMAMU wa http://rweyemamuinfo.blogspot.com

HONGERA SANA FILBERT RWEYEMAMU KWA KUSHINDA TUZO YA UPIGAJI PICHA!, MWAKA HUU NAFASI YA PILI MWAKANI NAFASI YA KWANZA

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO