Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

SEMINA YA MAFUNZO ELEKEZI KWA VIONGOZI WA CHADEMA WILAYANI HANANG

DSC_0761

Wajumbe walio jitokeza kwenye semina elekezi kwa viongozi wa Kamati Tendaji za Kata na na Serikali za Mitaa Hanang wakimsikiliza Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Arusha, ambaye pia ni Katibu wa Kanda ya Kaskazini ya chama hicho, Mhe Amani Golugwa katika Semina ya mafunzo kwa wajumbe wa Wilaya ya Hanang  juu ya mfumo mpya wa MB 75 kwa viongozi wa Chadema hii leo.

DSC_0732

DSC_0745

PICHA ZAIDI HAPA : http://ow.ly/KNICZ

Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO